PENZI LA MAMA WA KAMBO-PART 01 | SIMULIZI ZA MAPENZI


PENZI LA MAMA WA KAMBO

Nilipomaliza kidato cha sita nilirudi nyumbani
kumsaidia mama majukumu nyumbani.,m.kwani umri
wa mama yangu ulikuwa Ni mkubwa Sanaa hivyo
ilikuwa Ni ngumu kwa yeye kumudu kazi nyingi hasa
za shamba,mkwa jina naitwa Jaden wengi
wanapendana kuniita Jay hasa watoto wakike
walipenda kuniita hivyo,.mm Ni mzaliwa Moshi
nmelelewa na mama, baba yangu anafanya kazi
wizara ya madini ila alitengana miaka 7 iliyopita na
nlisikia ameoa ila siku bahatika kwenda dar es laam
kwake,m,ilikuwa siku ya J2 nliamka mapema kwaajili
ya kuelekea shamba ila nliingia chumbani kwaajili ya
kumjulia mama yangu hali,m.nlibisha mlango wa
mama kwa mda mrefu ila ukimya ulizidi
kutawala,ilinibidi niingie ndani kwa mama huku hofu
ikiwa imenitanda,.mama?? Mama??
Mama?2m.nliendelea kuita bila mafanikio nkisogea
mpaka alipo mama Kisha nikaanza kumtikisa mama
mwili wake ulikuwa wa baridi Sanaa..nililia kwa
uchungu kitu ambacho kiliwafanya majirani waamke
kwa haraka na kusogea mpaka kilio kilipokuwa
kinatokea, sikuamini nlipoambiwa mama yangu
amefariki kwani mama alikuwa ndio Kila ki2 kwangu
kwanzia chakula na kunisomesha kiujumla maana
baba alishatusahau baada ya kwenda dar na kuoa
mwanamke mwengine,.mipango ya mazishi
ilifanyika na baba alikuja kumzika mama licha ya
tofauti zilizokuwepo baina yao,baada ya mazishi
kupita familia ilipendekeza baba anichukue niende
naye dar es salaam nikaishi naye kwake licha ya
kuwa teyari ameshaoa ila alikuwa bado haja bahatika
kupata mtoto na mama yangu huyo wa
kambo,mbaba hakuwa na pingamizi maana mm
nlikuwa damu yakeki ufupi baba yangu alikuwa na
miaka 60 huku mama yangumzazi aliyefariki alikuwa
ana miaka 50. ila nlisikia baba kaoa msichana wa
miaka 26 mm Nina miaka 22 tusafari ya kuelekea
dar es salaam ilianza tuliondoka Moshi majira ya saa
12 asubuhi safari ilikuwa ndefu ila tulifika salama na
tulifika majira ya saa 2 usiku kutokana na foleni ya
mbezi ndio ilitufanya tuchelewe.gari ya baba aina ya
Range Rover ilifika kwenye nyumba nzuri ya kifahari
Kisha geti likafunguliwa gari likaingia
ndani,,mlangoni alitoka mdada wa makamo Kama
miaka 26 aliyekuwa na umbo zuri... ITAENDELEA


Ahsante kwa kutrmbelea application yetu kama kuna tatizo lolote tucheke whatsapp kwa namba zetu hizi hapa 0713477356

Share:

1 comment:

MOVIE ZOTE ZA KILA MWEZI ZIPO HAPA

Featured Post

SWORD DANCE (SWORD AND FLOWER) EPISODE YA KWANZA MPAKA YA TANO.

Uigizaji uliwekwa wakati wa Goguryo.  Ni kuhusu jinsi Moo Young (Kim Ok Bin), binti ya Mfalme Young Ryu, anapenda kwa Yeon Choong (...

KALI KULIKO

Recent Posts

CHAGUA AINA YA SIZON

Popular Posts

Labels

Sample Text

Kama unataka BLOG kama hii Tafadhali wasiliana nasi kwa mawasiliano ya simu namba 0717069756