MKE WA BOSS WANGU SEHEMU YA KWANZA | SIMULIZI


 MKE WA BOSS WANGU-01
oya kelvin wiki ijayo ndio tunamaliza chuo vp rafiki
yangu umejipangaje kuyakabili maisha ya mtaani
maana ajira zimekuwa ngumu siku hizij,alikuwa Ni
rafiki yangu John aliyekuwa akiniuliza wakati tukiwa
tumekaa kwenye kimbweta (sehemu maalumu
iliyojengwa kwaajili ya kujisomea kwenye maeneo ya
nje ya chuo)adah John mm sijui itakuwaje ila siwezi
kurudi nyumbani Moshi ntakomaa na dar es salaam
mpaka mwisho,mkelvin huoni utazidi kupata shida
mm nakushauri turudi Kwanza nyumbani tukajipange
alafu tukiwa vzur turudi dar kupambana maana ajira
Ni ngumu Sanaa siku hizi,,dah embu muone demu
wako noela kule yupo na mshikaji yule sharobaro wa
darasa alafu yule jamaa nasikia anakuja chuo na gari
kali????m

.dah John rafiki yangu unajua noela
aliniacha aliniambia Mimi sina ela, sijui kuvaa Sina
swaga,alafu sijui kuoga,,.hahahaahaha pole Sanaa
kelvin nlikuambia mwanzoni yule demu anapenda ela
sasa amekula ela zako za mkopo alafu amekukimbia
wewe ulikuwa unajisifia handsome boy hukujua
Kama mademu wa siku hizi pesa mbele,,dah kwel
John alafu huyo sharobaro Ni mtoto wa mbunge na
chuo anakuja na range Rover anapesa chafu sanaa
nlishamkuta na noela roho iliniuma Sanaa
nlivyomuuliza noela ndio ikawa ugomvi mpaka
akaniachapole Sanaa kelvin usikurupukie mademu
na Hali yako hiyo hata kula kwako yenyewe kwa
shidaa,.sawa John nmekuelewadah alafu mm
hapa na 1500 twende tukale hapa nakula wali wa
buku na juice ya jero ndio mpaka kesho
yanij.,hahahaha umeona sasa kelvin kula kwenyewe
unapiga pasi ndefu alafu Bado unataka mademu
wakali, unaona jinsi ulivyo handsome bac ndio
kila demu utampata, dah we John Leo umeamka na
mm embu twende tukale tu...ITAENDELEA








Share:

No comments:

Post a Comment

MOVIE ZOTE ZA KILA MWEZI ZIPO HAPA

Featured Post

SWORD DANCE (SWORD AND FLOWER) EPISODE YA KWANZA MPAKA YA TANO.

Uigizaji uliwekwa wakati wa Goguryo.  Ni kuhusu jinsi Moo Young (Kim Ok Bin), binti ya Mfalme Young Ryu, anapenda kwa Yeon Choong (...

KALI KULIKO

Recent Posts

CHAGUA AINA YA SIZON

Popular Posts

Labels

Sample Text

Kama unataka BLOG kama hii Tafadhali wasiliana nasi kwa mawasiliano ya simu namba 0717069756