MKE WA BOSS WANGU SEHEMU YA PILI | SIMULIZI



MKE WA BOSS WANGU-02
Leo umeniandama Sana John haya twende
tukalemtulienda mpaka kwenye cafeteria ya
chuoni,.dada naomba wali mboga mboga wa buku
na juice ya jero,,nlitoa 1500 nakumpa,.oya John
mbona umezubaa embu na ww agiza hapo
chap,.dada na mm nipe wali mboga wa buku na
juice,.tulichukua coupon tukaelekea sehemu ya
kuchukua chakula Kisha tukaanza macho meza ya
kwenda kulia chakula,,.Kelvin twende kwenye ile meza
pale hakuna watu,.pembeni ya meza tulikuwa
tumekaa walikuwa wadada wa 2 waliokuwa
wanakula nyama za kuchoma na juice kiukwel
walikuwa niwazuri Sanaa kwa muonekano kwanzia
sura mpaka shape, 



Oya kelvin mbona unawashangaa
Sana wale mademu wale wote Ni mwaka wa kwanza
(first year) alafu watoto wa kishua wale sio level zetu
kabixaaa embu tule wali maharage wetu tuondoke
aisee,,bac nligeuka nakuchukua kijiko nakuanza
kula,.upande wa wale wadada mazungumzo
yalikuwa hivi,,.Liliani umemuona yule mkaka aliyekaa
na mwenzake???,yupi huyo??.myule mweupe
handsome mwenye shati la kijani,..ndio nmemuona
kwani vp??.m,yule mkaka Ni mzuri alafu Ni mpole
jamanii!.Kwani yupo mwaka wa ngapi
Ljlian???..levla yule yupo mwaka wa 3 ndio
maliza.,.mhhh alafu Ni mzuri haswaa jamanii
nlikuwa cjamuangalia vzuri Liliani dah sema yule
hawezi kosa mpenzi embu tuendelee tu na mamboyetu,mm.oya kelvin mbona unakula kirembo hivyo mm
nakuacha natangulia hostel aiseee utanikuta huko
maana Sina muda wa kuendelea kuuza sura hapa
cafe,m,kwahiyo John unashindwa kunisubir
nimalizie ???.,.ww endelea utanikuta hostel, bac John
aliondoka kuelekea hostel nikabaki mwenyewe
kwenye ile meza,mLeyla yule mkaka amebaki
mwenyewe! Liliani vp umempenda nn yule
handsome???.sasa kwa uzuri ule shoga angu we
mwenyewe hajakuvutia????m.mhhh amenivutia ila kila
mwanaume anayekuvutia unafikiri utatembea naye
tu!!!, leyla mm naenda kuongea naye wewe
Endelea kujishaua hapo,,Wakati nikiendelea kula
nilisikia sauti nzuri ya kike ikiniita,.kaka!
Mambo.nlimuangalia alikuwa Ni msichana mzuri
rangi maji ya kunde ila umbo la kibantu,.nzuri tu
karibu mAsante mm nipo na rafiki yangu pale sasa
cjui kama unaweza kuja kukaa na sisi?,ITAENDELEA

AHSANTE KWA KUTRMBELEA APPLICATION YETU PENDWA. 



Share:

No comments:

Post a Comment

MOVIE ZOTE ZA KILA MWEZI ZIPO HAPA

Featured Post

SWORD DANCE (SWORD AND FLOWER) EPISODE YA KWANZA MPAKA YA TANO.

Uigizaji uliwekwa wakati wa Goguryo.  Ni kuhusu jinsi Moo Young (Kim Ok Bin), binti ya Mfalme Young Ryu, anapenda kwa Yeon Choong (...

KALI KULIKO

Recent Posts

CHAGUA AINA YA SIZON

Popular Posts

Labels

Sample Text

Kama unataka BLOG kama hii Tafadhali wasiliana nasi kwa mawasiliano ya simu namba 0717069756